회원로그인

회원가입

가사 등록 싱크 가사 등록

Jambo

Jirani Children's Choir
이 가수 듣기
Jambo! jambo bwana! habari gani?
mzuri sana; Wageni, mwakaribishwa;
Kenya yetu, Hakuna matata;

1. Kenya nchi nzuri : Hakuna matata;
Nchi ya kupendeza : Hakuna matata;
Nchi ya maajabu : Hakuna matata;

2. Kenya nchi nzuri ; Hakuna matata,
Nchi yenye furaha ; Hakuna matata
Mwakaribishwa ; Hakuna matata

3. Kenya nchi nzuri ; Hakuna matata,
Nchi yenye amani ; Hakuna matata
Wakenya wote ; Hakuna matata

가사 수정 / 삭제

댓글목록

등록된 댓글이 없습니다.